1. Radio – mwengoya
2. Charger – kimemeshi
3. Password – nywila
4. Akala (bladder shoes) – kirikiri
5. Passion fruit – karakara
6. Goose berries – zabibu bata
7. Tangerine – chenza
8. Kangaroo – bukunyika
9. Fridge/deep freezer/refrigerator – jirafu/jokofu
10. Juice – sharubati
11. Cement – saruji
12. Speaker (electronic) – kipaza sauti
13. Speaker (politician) – mzungumzishi
14. Chips – vibanzi
15. PHD – uzamifu
16. Masters degree – uzamili
17. Bachelor’s degree – shahada
18. Diploma – stashahada
19. Certificate (academic) – astashahada
20. Keyboard – kicharazio
21. Scanner – mdaki
22. Flash disk -kinyonywa
23. Floppy disk – diski tepetevu
24. Computer mouse – kiteuzi/kipanya
25. Computer virus – mtaliga
26. Screen (noun) – kiwambo
27. Remote – kisengeretua/kitendambali
28. Aerial – kiungambali
29. Distillation – ukenekaji
30. Evaporation – mvukizo
31. Synthesis – uoanishaji
32. Oesophagus – umio
33. Greenhouse – kivungulio
34. Incubator – kiangulio
35. Femur – fupaja
36. Germcell – selizazi
37. Humus – mboji
38. Nector – mbochi/ntwe
39. Nutrients – virutubisho
40. Crystal – fuwele
41. Appetizers – vihamuzi
42. Coral reef – tumbawe
43. ATM – kiotomotela
44. Business card – kadikazi
45. Scratch card – kadihela
46. Simcard – kadiwia/mkamimo
47. Memory card – kadi sakima
48. Oven – tanuri
49. Microwave – kikangazi
50. Furnace – rafadha
51. Mobile phone – rununu/rukono
52. Stapler – kibanizi
53. Laptop – kipakatalishi
54. Powersaw – msumeno oto
55. Duplicating machine – kirudufu
56. Photocopier – kinukuzi
57. Printer – kichapishi
58. Cocktail party – tafrija mchapulo
59. Calculator – kikokotozi
60. Air conditioner – kiyoyozi
61. Lift (for buildings) – kambarau
62. Reaction – radiamali
63. Toothpick – kichokonoo
64. Street – ubungo
65. Email – barua pepe
66. Fax – pepesi
67. Hacker – mdukuzi
68. Cartoon – kibonzo
69. ICU – sadaruki
70. Diameter – kipenyo
71. Radius – nusu kipenyo
72. Shed (for resting) – mndule
73. Zebra crossing – kivuko milia
74. Traffic lights – semaforo
photo AI.