1. Water- Maji
2. Soil- Udongo
3. Coal- Mkaamawe
4. Crude oil- Mafuta ghafi
6. Raw material- Malighafi
7. Air- Hewa
8. Mineral- Madini
9. Grass- Nyasi
10. Tree- Miti
11. Vegetation- Uoto
12. Forest- Msitu
13. Gold- Dhahabu
14. Silver- Fedha
15. Diamond- Almasi
16. Land- Shamba
17. Rain- Mvua
18. Bush- Kichaka
19. Wildlife- Wanyama pori
Photo AI