LESSONS

Romance phrases in swahili

Written by Kiswahili

A collection of romance phrases that warm the heart. English to Swahili translations for romance, affection, and emotional connection.” Karibu

  1. I love you – Nakupenda
  2. I missed you- Nilikukosa
  3. I cherish you – Nakuthamini
  4. You are only one- Ni wewe tu!
  5. You’re the love of my life – Pendo la maisha yangu
  6. I care about you- Ninakujali
  7. You’re my home – Wewe ni nyumba yangu
  8. I long for you – Nakutamani sana
  9. I’m proud of you – Najivunia kwa ajili yako
  10. You are my comfort – Wewe ni faraja yangu
  11. I want to spend my life with you – Nataka kutumia maisha yangu pamoja na wewe
  12. You’re the reason I smile – Wewe ndio sababu ya tabasamu langu
  13. My heart calls your name – Moyo wangu unaita jina lako
  14. I want you forever – Nakutaka milele
  15. You are my wish – Wewe ni ombi langu
  16. Only you-
  17. I want to wake up next to you – Nataka kuamka karibu na wewe
  18. Let me love you – Niruhusu nikupende
  19. I feel alive with you – Najisikia hai nikiwa na wewe
  20. You are my reason to live – Wewe ndio sababu ya kuishi kwangu
  21. You are my passion – Wewe ni shauku yangu
  22. My love grows for you – Upendo wangu unakua kwa ajili yako
  23. I see my future in you – Naona kesho yangu kwako
  24. My soul is yours – Nafsi yangu ni yako
  25. I am addicted to you – Nimekuzoea sana
  26. You are my world – Wewe ni dunia yangu
  27. You are irreplaceable – Wewe huwezi kubadilishwa
  28. I’ll love you till the end – Nitakupenda hadi mwisho
  29. I trust you- Nakuamini
  30. You are amazing – Wewe ni wa ajabu
  31. I’m happy with you – Nimefurahi kuwa na wewe
  32. You make me complete – Unanikamilisha
  33. My heart beats for you – Moyo wangu unapiga kwa ajili yako
  34. I’ll never leave you – Sitakuacha kamwe
  35. I’m here for you – Niko hapa kwa ajili yako

Created for students

Photo Bing

About the author

Kiswahili

Leave a Comment

Back to top