Hello- Hujambo!
Natumai nyote wazima – I hope all of you are well
Aina za viungo – Types of spices
Aina – Types
Viungo – Spices
Kiungo – Spice
Za – Of
Cardamom – Iriki
Cinnamon – Mdalasini
Ginger – Tangawizi
Cloves – Karafuu
Black pepper – Pilipilimanga
Salt – Chumvi
Vinegar – Siki
Chilli – Pilipili
Bell peppers – Pilipili hoho
Coriander – Giligilani
Cumin seeds – Binzari nyembamba
Garlic – Kitunguu saumu
Lime – Ndimu
Lemon – Limao
Onion – Kitunguu
Turmeric – Manjano
Image AI