1. Crisp – kaukau.
2. Thermos flask – chupa ombwe.
3. Miniskirt – kibiriti ngoma.
4. Bedsitter – kibiriti ngoma.
5. Croptop – kitopa mkato.
6. Eulogy – taabini.
7. Pearl – lulu.
8. Slave – mtwana.
9. Internet – wavuti.
10. Website – tovuti.
11. Network – mtandao
12. Womanizer – mbembe/mbarazi
13. Man who seduces women for other men – kuwadi/kibirikizi.
14. Dwarf – kibirikizi/mbilikimo
15. Miwani ya jicho moja – lodi
16. Pirate – haramia
17. Pouch – mkwiji
18. Pulling up a pair of trousers/clothes – kwida
19. Low value – kopo
20. Tip of pen – nibu
21. Bag – shanta
22. Knapsack sprayer – bomba la shanta
23. Jigger – funza/tekenya
24. Tickle – tekenya/tekerenya
– MUNENE NYAGAH na NUHU ZUBERI BAKARI
Photo AI