LESSONS

At the Airport – English to Swahili

Written by Mandela

Dear learners here are 30 common English-to-Swahili phrases you might need at an airport: Learn more


English PhraseSwahili Translation
1. Where is the check-in counter?Kaunta ya kuingia iko wapi?
2. I have a reservation.Nimeweka nafasi
3. Can I see your passport?Naweza kuona pasipoti yako?
4. Here is my passport.Hii hapa pasipoti yangu.
5. Do you have a visa?Je na visa?
6. Yes, I have a visa.Ndio, nina visa.
7. Where is gate number 5?Lango nambari 5 liko wapi?
8. What time is the flight?Ndege itaondoka saa ngapi?
9. The flight is delayed.Ndege imechelewa.
10. The flight is on time.Ndege iko kwa wakati.
11. This is my boarding pass.Hii hapa tiketi yangu ya kupanda ndege.
12. Where is the luggage claim area?Sehemu ya kuchukua mizigo iko wapi?
13. My God I lost my luggage.Mungu wangu Nimepoteza mzigo wangu!
14. My luggage is damaged.Mzigo wangu umeharibika.
15. I need help.Nahitaji msaada.
16. Where is the restroom?Chooni ni wapi?
17. How much is the ticket?Tiketi ni pesa ngapi?
18. I am looking for terminal B.Ninatafuta kituo cha B.
19. I missed my flight.Nimekosa ndege.
20. I want to change my flight.Nataka kubadilisha ndege yangu.
21. When is the next flight?Ndege inayofuata ni lini?
22. Can I carry this in my hand luggage?Naweza beba hii katika mzigo wa mkononi?
23. Please open your bag.Tafadhali fungua begi lako.
24. Step aside for a security check.Tafadhali simama pembeni kwa ukaguzi.
25. Do you have anything to declare?Una kitu cha kutangaza?
26. I am here on vacation.Niko hapa kwa likizo.
27. I am here for work.Niko hapa kwa ajili ya kazi
28. I am connecting to another flight.Ninaunganisha na ndege nyingine.
29. Where can I get a taxi?Ni wapi naweza kupata taksi?
30. Thank you very much for your help.Asante sana kwa msaada wako.

Created for students. Not for Google search! 

Photo Bing 

About the author

Mandela

Leave a Comment

Back to top