LESSONS

English to Swahili Vocabulary Words for Kids

Written by Kiswahili


๐Ÿ  Family and People

English Swahili
ChildMtoto
BoyMvulana
GirlMsichana
BabyMwana
FatherBaba
MotherMama
BrotherNdugu wa kiume(Kaka)
SisterNdugu wa kike(Dada)
GrandmotherBibi
GrandfatherBabu
FamilyFamilia
FriendRafiki
PeopleWatu
ParentMzazi
NameJina

๐ŸŽ’ School and Learning

English WordSwahili Translation
SchoolShule
TeacherMwalimu
StudentMwanafunzi
BookKitabu
PenKalamu
PencilPenseli
PaperKaratasi
BagBegi
ClassDarasa
LearnJifunze
ReadSoma
WriteAndika
DeskDawati

๐Ÿงธ Toys, Games, and Activities

English WordSwahili Translation
ToyKijitini
BallMpira
GameMchezo
PlayCheza
SingImba
DanceCheza ngoma
RunKimbia
JumpRuka
DrawChora
Color (verb)Paka rangi
PicturePicha

๐ŸŽ Everyday Words for Kids

English WordSwahili Translation
FoodChakula
WaterMaji
MilkMaziwa
BedKitanda
HouseNyumba
ClothesMavazi
ShoesViatu
SleepLala
Wake upAmka
LoveUpendo
SmileTabasamu
HappyFuraha

Created for students. Not for google search

Photo Bing

About the author

Kiswahili

Leave a Comment

Back to top